Mchanganuzi wa siasa na aliyekuwa mgombea kiti cha urais Muthiora Kariara, Mtaalam wa uongozi Dennis Nthumbi, Mchanganuzi wa siasa Meshack Odede na Wakili Mwirigi Kamande ambaye pia ni mchanganuzi wa maswala ya siasa wazungumzia uchaguzi mkuu saa chache kabla ya upigaji kura.
“Wakenya wameanza kukubali kwamba uchaguzi ni kitu cha kupita tofauti na apo awali ambapo ilikuwa uchaguzi ni swala la kufa kupona, wakati huu tunaelewa kuwa ni kazi tunapatia viongozi wetu haituhusu zaidi ya hapo” Muthiora Kariara
“Watu hamawatapiga kura kwa misingi ya kikabila au misingi ya vyama ni jambo tu ambalo tunajiambia hapa ukweli ni kuwa hayo maeneo ambayo tunasema ni ngome za watu fulani, ni kwa sababu ni ngome zao za kikabila kwa njia moja au nyingine” Wakili Mwirigi Kamande
“Vihiga,Kakamega and Bungoma, Kura ambayo Raila alipata aliletewa na Mudavadi na Wentangula, hao kwa sasa hawako na yeye wako katika Kenya Kwanza na wameahidi kuwa kura wataileta Kenya Kwanza kwa asilimia 95” Dennis Nthumbi
“Kenya Kwanza wanafaa kujua kuwa Ruto hajawai wania urais, ndio mara ya kwanza kwa hivyo hawana takwimu yoyote ya kutumia kuhusu Ruto, kila takwimu ambazo wanatumia ni za Uhuru Kenyatta” Meshack Odede
#kenyaelections #kenyadecides #iebc
00.00 – 04.10 Vidokezo
04.11 – 08.40 Maandalizi ya uchaguzi Nakuru
08.41 – 18.50 Maandalizi ya uchaguzi Kiambu
18.51 – 21.30 Maandalizi ya uchaguzi Kericho
21.31 – 26.15 Maandalizi ya uchaguzi West Pokot
26.16 – 31.00 Maandlizi ya uchaguzi Lodwar
31.01 – 37.25 Maandalizi ya uchaguzi Nyeri
37.26 – 41.05 Maandalizi ya uchaguzi Makueni
41.06 – 42.10 Maandalizi ya uchaguzi
45.05 – 51.20 Maandalizi ya uchaguzi Murang’a
51.21 – 58.30 Maandalizi ya uchaguzi Homabay
58.31 – 01.02.35 Maandalizi ya uchaguzi Machakos
01.02.36 – 01.0-8.25 Maandalizi ya uchaguzi Kirinyaga
01.11.35 – 01.55.40 Gumzo kuhusu uchaguzi mkuu
02.00.00 – 02.07.35 Maandalizi ya uchaguzi Nyamira
02.07.36 – 02.11.40 Maandalizi ya uchaguzi Kisumu
02.11.41 – 02.14.35 Maandalizi ya uchaguzi Eldoret
02.14.36 – 02.16.50 Maandalizi ya uchaguzi Naivasha
02.16.51 – 02.20.05 Hotuba ya Mwaure kwa wanahabari
02.20.06 – 02.28.00 Maandalizi ya uchaguzi Meru
02.25.05 – 02.28.00 Maandalizi ya uchaguzi Murang’a
02.28.01 – 02.35.35 Maandalizi ya uchaguzi Kitale
02.35.36 – 02.41.05 Usalama wa uchaguzi Meru
02.41.06 – 02.45.05 Usalama wa uchaguzi Marakwet
02.45.06 – 02.52.00 Maandalizi ya uchaguzi Lurambi (Kakamega)
02.52.01 – 02.57.20 Maandalizi ya uchaguzi Nairobi
02.57.21 – 02.59.20 IEBC yakashifiwa Bungoma
02.59.21 – 03.01.18 Usalama wa uchaguzi Kirinyaga
03.01.19 – 03.03.35 Usalama wa uchaguzi Kajiado
03.03.36 – 03.05.55 Usalama wa uchaguzi Machakos
03.05.56 – 03.07.52 Kilio cha wavuvi Lamu
03.07.53 – 03.09.30 Kilio cha haki Kitui
03.13.15 – 04.53.00 Gumzo ya uchaguzi mkuu
Kenya Decides
05.02.50 – 05.04.30 Headlines
05.04.31 – 05.10.40 Election preparation Uasin Gishu
05.10.41 – 05.15.30 Election preparation Bomas of Kenya
05.15.31 – 05.19.36 Election preparationin Msambweni Kwale
05.19.37 – 05.24.55 Election Preparation in Kirinyaga
05.24.56 – 05.32.05 Election preparation in Kiambu
05.32.06 – 05.37.50 Election preparation in Homabay
05.40.20 – 05.47.57 Election Preparation in Mombasa
05.47.58 – 05.52.16 Election preparation in Machakos
05.52.17 – 05.55.15 Election preparation in Nandi
Election: The final stretch Discussion
Mngu linda taifa letu uchaguzi huo uwe wa Amani jmn kusiwe na vifo