82-year-old Ronald Wanyama calls himself ‘John The Baptist the 5th’. He has 46 wives, and has written a Bible with 93 books. The normal Bible has 66 books. He has also written two constitutions for Kenya, which he says it should adopt.
#News #BungomaJohnTheBaptist #Bible
__
Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from ‘Home of The Untold Stories.’
*About TV47*
‘TV47. is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. We have a diverse menu of programming. Switch on today for the best in infotainment. Give us feedback on our news, features and interviews. Also, tell us what you’d like us to bring to you.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending NEWS to 22047.
__
Connect with us:
Website: https://www.tv47.co.ke/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47ke
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
__
Vitabu vipo 72
Shetani analangua wapumbavu
Bungoma Wamebalikiwa Maajabu yote yapo kwao.
Western Kuna maneno,mara yesu huyu naye ni John the Baptist
La!
Watu wa bungoma mueje ujinga
Sad 😅😅😅😅 sijai hona hiyo Dunia imeisha Sasa
Exactly 10 months ago 😂sai Kenya iko kwa hali gani. Same times tujifikirie sana😂ila kua nayo ndio shida 😅
Bungoma imekua too much 😂sasa Jesus wa togoreni😂jehovah wanyonyi leo yohana 😂sasa next mary mama wa yesu sasa na malaika😅😅
BUNGOMA MY COUNTY tulikuwa na Jehovah wanyonyi tuko na yesu wa tongareni tuko na yohana mpatisaji mbingu ni letu sihami mm
Kenya sijui mtaacha lini vituko🤣🤣
Kamakhuwa ke ebung'oma 😂
Bungoma is a county full of occultism
Hao watu wabungoma ni bangi ndio inavutwa sana ama shida iko wapi Mara yesu watengaren bungoma haya yohana bungoma makubwa
WHAT IS WRONG WITH BUNGOMA SPIRITUALLY?
Bangi ni Moto sana huku BUNGOMA.
Kenya mfanye toba
Kwani waluya ndo yesu ndo yohana tena kkkkkkkk kkkkkkkkkkkk kkkkkkkk kkkkkkkkkkkk
Waganga nawenyewe wamehamia upastor jamani me napita…..
Waluya ndiyo kukula,kustunya,kunabii,ku-john, ku-tongaren,ku-wanyonyi na kudandia ndege…..wapi pusia,punyore,kachmeka
Huyo ni mchawi tuu!
Waluhya mko na maneno
Sipendi ujinga kaa huu watu wanajiwekea
Wah!! Sisi Wana Bungoma!!! Vitukoooo!!!
Elijah Masinde – Were (God in Lubukusu)
Jehovah Wanyonyi
Yesu wa Tongareni.
Now Yohana Mbatisi. We should take him to Herod to chop off his head.
Bungoma/Mungoma means sacred so maybe that's why we have these so called "reincarnations"… Shindwe!! Riswa!!;
Kwa waluya inaonekana majority false prophet are coming from there
Kenyan weed ni balaa🙄
Hupande wa western kuna shinda. Miungu mingi sana
Ninyi watu wa Bungoma mko na ujinga mwingi sana. Mlikua na Jehovah wanyonyi. Mko ma Johana mpatizaji. Mko na Yesu wa Tongareni. Mtaelefuka siku gani. Ninyi mumelogwa. Mna mwabundu mtu badala ya Mungu.
Huyu Nate eti anaitwa 'Yohanna mbatizaji'😅
😂😂sasa hii bangi inayovutwa kule western wacha tu inafaa ipunguzwe nguvu jameni
Alaaaah! Bungoma tumezidi 😅😅😅
Yesu wa Tongareni kumbe alicopy huyu 😅
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Only God can heal
😂😂😂😂 Bungoma never disapoints
😂😂😂😂😂
What is the crime here?
nabona waogea kama mluhya🤣🤣🤣mkora unasema ulikua isreal
I really Believe KENYA is the Only BLESSED Country in the world With all Self Proclaimed Disciples Resurfacing One by one.Jehova Wanyonyi,Yesu Wa TONGAREN ,,,,,,,,,Being Followed by Many Confused Idiots.We Need to Read the BIBLE.Some of the FACTS are well outlined in the Scriptures.
And he is 46😂
This is kenya