Tunda la tende limekuwa ghali



Biashara ya tende huimarika hususan katika msimu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan, japo mwaka huu tunda hilo limeripotiwa kuwa ghali mno ikilinganishwa na misimu mingine.

Wateja wamepata ugumu wa kununua tunda hilo, kutokana na sababu tofauti.

Tende hutumika kama kianzio cha kufuturu na Waisilamu.

Tende zina manufaa mengine mwilini kama vile kuongeza virutubishi mwilini.

#TV47Matukio

Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from ‘Home of The Untold Stories.’

*About TV47*
‘TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES.
__
For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047.
__

Connect with us:

Website: https://www.tv47.digital/
Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE
Twitter: https://twitter.com/tv47news
Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/
TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke
Telegram: https://t.me/tv47_ke
WhatsApp: 0797 047 047
__

Trending Now


Former Maria actress Dorea Chege and her beloved husband, DJ Dibul, have officially…


Subscribe to Our Newsletter

*we hate spam as much as you do

More From Author


Related Posts

See all >>

Latest Posts

See all >>