Aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko azungumzia matatizo yanayokumba siasa zake na jinsi anakabiliana nayo ndani ya #Ukumbiwasiasa.
“Nina matumaini ya kupata haki” Mike Sonko
“Mimi sijasaidiwa na Rais wala Raila nimesaidiwa na katiba ya Kenya” Mike Sonko
#sonko #kenyaelections #ukumbiwasiasa
go home, you were impeached
No Sonko, No vote for any azimio candidate.
Sonkos case is purely political
Who is here for sonko
Huyu ni Mono kweli, hata hatu enjoy, wacha Mhesh. Aongee. Of course kuna limits but Sio kama hiyo yako. But you will be experienced.
Very strong journalist 👩 👏👏👏👏very respectful control of guest
sonko mpaka mwisho………
Hadi ukujua constitution 🤣
Siniko daniii
MIMI NAPENDA SONKO HATA KAMA MIMI SI MKENYA BUT NIMEKAA KENYA 6 years WEWE NI MTU MZURI SANA SONKO NAKUPEA ADVICE YOKU CHANGE THE WAY UNAFANYA SIASA ZAKO UNGEKUBALI UUNGANE NA DP PRESIDENT RUTO BECAUSE WEWE NI PURE HUSTLER UMETOKA MBALI NA UMESAIDIA WATU WENGIIIIIIIIIIIIIIIIIII I KNOW YOU WELL.
Kalonzo ndie amepiga chenga kaliii anajua kile kinacho endelea na AZIMIO wewe breaks down ao uennde Kenya Kwanza because Dp amewasaidia Kalonzo is so weak politically
Steps down
Sonko tuko na wewe pamoja
Ati UN security council,…? Wacha kuongeya utoto Sonko,…. that is Rubish you even do not understand how the United Nations finctions and what it is for. I feel like vomiting hearing Sonko speaking this way! Kwani UN Security cuncil ni court? Kumbe uko ng'ombe saana kabisa!
Omari is looting Sonko. Poor Sonko, the other day he was looted by Kalonzo, the other day he was looted by Karua and Raila and today it is Omari. By the time you wake up Sonko ile pesa yote itakuwa ime enda na hawa watu kwa sababu wewe ni mjinga na wata kutupa kwa choo. Alakini mail ya wizi haina faida!